Plot4Sale Nauza eneo/kiwanja - Mwanza

Hati umeandikwa eneo linao ukubwa gani?

Nikutangulizie milioni leo laki 2 nitakulipa ndani ya miezi 6 tufunge biashara
Mkuu nashukuru sana kwa kuonyesha nia,ningekubali ofa,lakini tatizo nina uhitaji wa pesa kwa wakati huu ndio maana nikaamua niuze tu.
 
Sorry mkuu, hivi ukiwa unaingia Mwanza kutoka Shinyanga kati ya Nyashishi na Usagara inayo anza ni ipi?
 
Ardhi, maji, na mito havitakiwi kuuzwa,mtu akitaka avitumie bure kama alivyovikuta mpaka atakapoviacha, kwa sababu binadamu asiye na hela hizo huduma atazipataje hapa ulimwenguni. Gawa hicho kiwanja bure kwa yeyote anayehitaji.
Falsafa yako ni nzuri sana Mkuu,ingawa kwenye uhalisia wa maisha yetu inanigoma,hata mimi nilinunua sikupewa bure.
 
Sorry mkuu, hivi ukiwa unaingia Mwanza kutoka Shinyanga kati ya Nyashishi na Usagara inayo anza ni ipi?
Inaanza Usagara Mkuu,Nyashishi ipo karibu na Buhongwa ni kama zimeungana tu.
 
Ardhi, maji, na mito havitakiwi kuuzwa,mtu akitaka avitumie bure kama alivyovikuta mpaka atakapoviacha, kwa sababu binadamu asiye na hela hizo huduma atazipataje hapa ulimwenguni. Gawa hicho kiwanja bure kwa yeyote anayehitaji.
Chalesi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…