Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Nasali kanisa lako.Mkuuu samahani, unasali kwa Zumaridiiii au Mwamposa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasali kanisa lako.Mkuuu samahani, unasali kwa Zumaridiiii au Mwamposa??
Mkuu nashukuru sana kwa kuonyesha nia,ningekubali ofa,lakini tatizo nina uhitaji wa pesa kwa wakati huu ndio maana nikaamua niuze tu.Hati umeandikwa eneo linao ukubwa gani?
Nikutangulizie milioni leo laki 2 nitakulipa ndani ya miezi 6 tufunge biashara
Falsafa yako ni nzuri sana Mkuu,ingawa kwenye uhalisia wa maisha yetu inanigoma,hata mimi nilinunua sikupewa bure.Ardhi, maji, na mito havitakiwi kuuzwa,mtu akitaka avitumie bure kama alivyovikuta mpaka atakapoviacha, kwa sababu binadamu asiye na hela hizo huduma atazipataje hapa ulimwenguni. Gawa hicho kiwanja bure kwa yeyote anayehitaji.
Inaanza Usagara Mkuu,Nyashishi ipo karibu na Buhongwa ni kama zimeungana tu.Sorry mkuu, hivi ukiwa unaingia Mwanza kutoka Shinyanga kati ya Nyashishi na Usagara inayo anza ni ipi?
Mkuu huitaji kiwanja Mwanza?karibu.Sawa sawa mzehe
Mkuu huitaji kiwanja Mwanza?karibu.
Sawa mkuu,bado pia unaweza kunisaidia kuniunganisha na ndugu,jamaa au rafiki anayehitaji pia.Hella hamna mzehe.
Sawa mkuu,bado pia unaweza kunisaidia kuniunganisha na ndugu,jamaa au rafiki anayehitaji pia.
Chalesi upoArdhi, maji, na mito havitakiwi kuuzwa,mtu akitaka avitumie bure kama alivyovikuta mpaka atakapoviacha, kwa sababu binadamu asiye na hela hizo huduma atazipataje hapa ulimwenguni. Gawa hicho kiwanja bure kwa yeyote anayehitaji.
Chalesi upo
Ntaka kuagize hapo rau madukaniHaswaa, nipo, unasemaje Mwakifyatu!
Nimekusikia Mwakinyuke, mwagize jirani yako haoo, mie nipo nje ya nchi. Samahani kwa usumbufu ndugu Mwakinyuke Mwakimage!Ntaka kuagize hapo rau madukani
Hahaaa chale banaNimekusikia Mwakinyuke, mwagize jirani yako haoo, mie nipo nje ya nchi. Samahani kwa usumbufu ndugu Mwakinyuke Mwakimage!
PoaNjoo inbox tuyajenge
Mkuu mimi au mwingine?Njoo inbox tuyajenge