lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 805
Ndugu zangu hali sio nzuri kwangu kiuchumi sababu nna maeneo nilinunua kipindi mambo sio mabaya nimeamua kuuza baadhi hili kurekebisha baadhi ya matatizo,nna ekari 2,4,6 yote yapo mkuranga nauza ekari [email protected] MIL.