Nauza Eneo Langu Morogoro Mjini

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu
Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja.
Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama.

Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8

Kwa maswali zaidi na kutembelea site piga 0713 039 875

 
Duh ndio mjini kuko ivyo moro? Watu wa moro mjipamge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…