Hiyo page ilikuwa ni ya nini kaka, yaani mada zako zilikuwa nini, mm nataka nikinunua ni post ujumbe za ki Mungu na mahubiri, sasa isije ikawa waliku follow kwa sababu ya udaku wa mjini ,then wakiona mahubiri waka unfollowNauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa
Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya udaku kakaHiyo page ilikuwa ni ya nini kaka, yaani mada zako zilikuwa nini, mm nataka nikinunua ni post ujumbe za ki Mungu na mahubiri, sasa isije ikawa waliku follow kwa sababu ya udaku wa mjini ,then wakiona mahubiri waka unfollow
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona faida za udaku sasa? Wakati wewe unafanya udaku wenzako tulikuwa tunatafuta pesa, sasa hamna namna ni muda wa kupambana na hali yako ty, kuna watu mnahitaji hard way to learn and reasoning.
Auza Instagram ina follow 16.6kNauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa
Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:,imefikisha watu 24000
Shuka kidogo tufanye biashara!Mwenye laki aje nimpe insta account ikiwa pamoja na Gmail yke .. Ina. 40k followers ipo very active
Bado ipo hii?! Kama jibu ipo, kwa sasa ina Followers wangapi, na bei yake inaendaje?Nauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa
Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:,imefikisha watu 24000
Bado ipo hii?! Kama ndiyo, kwa sasa ina Followers wangapi na unauza bei gani?Auza Instagram ina follow 16.6k