INAUZWA Nauza facebook page ina followers 23.5k

INAUZWA Nauza facebook page ina followers 23.5k

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Nauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa

Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app


Update:,imefikisha watu 24000
 
Nauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa

Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo page ilikuwa ni ya nini kaka, yaani mada zako zilikuwa nini, mm nataka nikinunua ni post ujumbe za ki Mungu na mahubiri, sasa isije ikawa waliku follow kwa sababu ya udaku wa mjini ,then wakiona mahubiri waka unfollow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona faida za udaku sasa? Wakati wewe unafanya udaku wenzako tulikuwa tunatafuta pesa, sasa hamna namna ni muda wa kupambana na hali yako ty, kuna watu mnahitaji hard way to learn and reasoning.
 
Mwenye laki aje nimpe insta account ikiwa pamoja na Gmail yke .. Ina. 40k followers ipo very active
 
Back
Top Bottom