Nauza Flat Screen,king'amuzi cha Azam,subwoofer Sea piano,pamoja na stand ya vyote hivyo!

nataka azam pekee utanifanyia bei gani
 
Tv size gani mkuu na subwoofer type gani? Kwa nini unauza, vina documents?
Mkuu vina documents kasoro kingamuzi tu maana nilikinunua mwaka 2014 ni cha zaman sana ila nimetunza sana mpaka remote yake ni nzima.....tv ni sing sung nchi 24 wengine wanasemaga 25 japo mm naamini ni 24,....sababu ya kuuza naondoka huu mkoa naenda dom kijijini huko kufanya kazi so kwa jua la kule natamani kununua pikipiki sasa nimeamua niuze tu hivi vitu maana kutembea kwenye jua la huko sitaweza kabisa......think u got me clear...ukihitaji nitakuelekeza ufike mpaka kwangu uvione,iridhike ndio unipe pesa
 
nataka azam pekee utanifanyia bei gani
Azam mkuu utanipa 110k....nakupa kikiwa full kabisa nakuonesha na registration ya jina langu kwenye king'amuz hichi maana risiti yake sina nilishapoteza
 
Azam mkuu utanipa 110k....nakupa kikiwa full kabisa nakuonesha na registration ya jina langu kwenye king'amuz hichi maana risiti yake sina nilishapoteza
80 nakupa mkuu unitumie kwenye basi asubuhi
 
Mkuu ukihtaj pikipiki dodoma nitafte unipe rizki.
 
Mkuu Uza kwa bei Ya kuondokea bhana. Hapo ingekuwa mzungu anaondoka kurudi kwao ningesomba kwa 270k vyote.


Kama una haraka ya kuviuza tembelea Tanzania Mailing pale facebook uvipost chap.
 
I am ready to buy at my own risk

Tv 120k
Subwoofer 70k
Kingamuzi 80k


Vyote kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…