ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Picha inajieleza hapo,nakupa na remote zake zikiwa nzima kabisa,kama unahitaji njoo pm chapu,...nauza vyote kwa 430k....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha mkuuMkoa Gani upo?
Tv size gani mkuu na subwoofer type gani? Kwa nini unauza, vina documents?Arusha mkuu
Mkuu vina documents kasoro kingamuzi tu maana nilikinunua mwaka 2014 ni cha zaman sana ila nimetunza sana mpaka remote yake ni nzima.....tv ni sing sung nchi 24 wengine wanasemaga 25 japo mm naamini ni 24,....sababu ya kuuza naondoka huu mkoa naenda dom kijijini huko kufanya kazi so kwa jua la kule natamani kununua pikipiki sasa nimeamua niuze tu hivi vitu maana kutembea kwenye jua la huko sitaweza kabisa......think u got me clear...ukihitaji nitakuelekeza ufike mpaka kwangu uvione,iridhike ndio unipe pesaTv size gani mkuu na subwoofer type gani? Kwa nini unauza, vina documents?
Azam mkuu utanipa 110k....nakupa kikiwa full kabisa nakuonesha na registration ya jina langu kwenye king'amuz hichi maana risiti yake sina nilishapotezanataka azam pekee utanifanyia bei gani
Subwoofer Sea Piano...zile zenye bluetoothTv size gani mkuu na subwoofer type gani? Kwa nini unauza, vina documents?
80 nakupa mkuu unitumie kwenye basi asubuhiAzam mkuu utanipa 110k....nakupa kikiwa full kabisa nakuonesha na registration ya jina langu kwenye king'amuz hichi maana risiti yake sina nilishapoteza
Mkuu ukihtaj pikipiki dodoma nitafte unipe rizki.Mkuu vina documents kasoro kingamuzi tu maana nilikinunua mwaka 2014 ni cha zaman sana ila nimetunza sana mpaka remote yake ni nzima.....tv ni sing sung nchi 24 wengine wanasemaga 25 japo mm naamini ni 24,....sababu ya kuuza naondoka huu mkoa naenda dom kijijini huko kufanya kazi so kwa jua la kule natamani kununua pikipiki sasa nimeamua niuze tu hivi vitu maana kutembea kwenye jua la huko sitaweza kabisa......think u got me clear...ukihitaji nitakuelekeza ufike mpaka kwangu uvione,iridhike ndio unipe pesa
Okay mkuu,,,,ngoja nijikusanye mkuu by mwezi wa tisa nitakuja huko so naweza kukutafuta tukaongea kaka...Mkuu ukihtaj pikipiki dodoma nitafte unipe rizki.
Mkuu itakuwa haina maslahi kaka...kusema kweli naweza kukutolea hiyo 10k tu....kama utaweza hiyo sawa but chini ya hapo itanipa hasara mkuu...80 nakupa mkuu unitumie kwenye basi asubuhi
Lahisi = RahisiBei lahisi sana
Mkuu nishauza tv na subwoofer...king'amuzi kwa 80k hapana mkuu....I am ready to buy at my own risk
Tv 120k
Subwoofer 70k
Kingamuzi 80k
Vyote kwa pamoja.
King'amuzi sina risiti...kina jina langu mm mwenyewe ukiwa tayari nakuonesha usajili wake kwenye ile risiti ya malipo ya vifurushiuna risiti? isijekuwa mzigo wa wizi
hako ka flat kana risiti? bufa lina tisit?King'amuzi sina risiti...kina jina langu mm mwenyewe ukiwa tayari nakuonesha usajili wake kwenye ile risiti ya malipo ya vifurushi