INAUZWA Nauza Fridge, inapooza vizuri bado ina upya wake

INAUZWA Nauza Fridge, inapooza vizuri bado ina upya wake

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
432
Reaction score
703
Fridge Inauzwa:

Fridge hii ni Brand ya INDESIT ambayo inatengenezwa na company ya Hotpoint ya Uingereza.. ina pooza na kugandisha vizuri..

Matumizi yake ya umeme ni Bora yenye level ya A+,

Rangi nzuri nyeusi nje na nyeupe ndani safi haina itilafu yoyote.

Muuzaji ana shida ya dharura ya kifedha..

Ipo Mbezi Beach, Salasala

Bei: 580,000/=
Wasiliana na mimi: DM


IMG_20221016_084801_498.jpg
IMG_20221118_145104_468.jpg
 
Back
Top Bottom