uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Maadam ni nzima na haina shida, hilo vumbi atasafisha atakaenunua coz lipo kibarazan hp, vumbi halikaukiIsafishe kwanza
Umeona bei lakini.Mkuu liuze screpa tu. Hilo limeshamaliza mwendo.
Ni kweli almost 9+years. Lkn body ipo ngumu sana na pia compressor ipo vema. Na ndiyo maana nimeandika kwa mtotoleshaji vifaranga ni bora zaidi. Ila friji za zaman zilikuwa bora sana zaidi ya sasaImetumika kweli kweli.
Nimeiona madam!Umeona bei lakini.
Skrepa hapana mkuu coz bd linapiga mzigo safi kabisaMkuu liuze screpa tu. Hilo limeshamaliza mwendo.
Sio kirahisi hivyo! Vipo vya kutupaJifunze kutupa vitu
Wao wenyewe wanajua namna ya kufanya modification kutoka friji na kuwa incubator.Unatotolesheaje naomba elimu kidogo
Hapana nilinunua jipya kabisa kutoka dukaniLimetumika miaka 9 kwako ila halikuwa jipya, lishatumika tena kabla.
Jifunze kutupa vitu