uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Habari zenu
Nauza friji hii iliyotumika almost miaka 9 hv
Sifa zake:
1. Rangi nyeupe, ila vema ukiirudidhia rangi
2. Ni kubwa
3. Aina ya Bosch
4. Inafanyakazi japo ufanisi umepungua kiutendaji
5. Inafaa sana kwa watotoleshaji mayai ya vifaranga ie incubator baada ya kufanya modification
6. Nauza kwa sababu silihitaji tena nina jingine jipya
7. Bei: sh 200,000 maongezi kidogo yapo
8. Lilipo: Kigamboni, mtaa wa Magogoni, maeneo ya Chadibwa beach
9. Mawasiliano: 0777777766 call/inbox/whatsapp
Karibuni