Nauza funguo aina zote za magari, kwa wale mnaotaka kuning'iniza kwenye suruali au kubeba mkononi

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Najua wengi tuna malengo ya kumiliki magari lakini shida yetu ni kwamba bado channel za pesa hazijakaa vizuri

kuokoa muda na wakati hatujui kesho yetu unweza ukazima leo paap hujaendesha hata hilo gari,sasa mkombozi nimekuja

Haina haja ya kusubiri sana wakati unaendelea tafuta pesa uje miliki gari,anza kununua funguo kabisa ya gari utalokuja tumia

Funguo hizi zitakufanya uonekane na wewe una gari so kupelekea heshima mtaani,Ushauri wa jinsi ya kuishika natoa bure.

Wateja kumi wa mwanzo nitawapa bure picha za magari hayo ambazo watanunua funguo zake FREEE of Charge.

Usiogope sikutaji siri ni kipaumbele changu.

 
Weka Keyless Nazo Japo........Wateja Sasa Hivi
Hatupangiwi Kama Wakulima Wa Mahindi πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Weka Keyless Nazo Japo........Wateja Sasa Hivi
Hatupangiwi Kama Wakulima Wa Mahindi πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ŽπŸ˜Ž
hizo pia zipo mkuu

karibu pm kwa picha zaidi πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
nimeshamaliza mkuuu,wananidai hela yao huku

fanya usichelewe maana naona wanakaribia kufunga

naona meneja wa bar yuko anaongea na mpishi jikoni (itakua wanataka niletea chakula)
Kula kula
Manake wazo lako hata wema sepenga atazama room hahaha
 
We jamaa umetaka kutuonyesha una gari nne ila ulishindwa kutangaza directly ndo thread hii ikabidi itungwe.....credits added wasubiri pm 🀣🀣🀣🀣
 
Mbarika said:
Mkuu kuna watu wanasema eti wewe ni mwanamke.

Hebu clear hyo dauti.
Kwa vile alicomment kwenye ule uzi wa wanawake "Jinsi ya kupata hedhi" ama? Pengine ile asante aliyoitoa kwenye ule uzi ni kwa niaba ya mama chanja wake.

(Ila kama kweli ni mwanamke, nitamtafuta πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€)
 
CONTROLA, vp funguo za zile gari zenye mkonga (sijui znaitwaje). Kiukwel hzo ndo gari za ndoto yangu. Ndani ya January (MUNGU akijaalia) nataka nimiliki kama mbili hv.
 
Kuna mjamaa yangu nitamtag, maana anawatafuna sana vibinti kwa style hizi za kuning'iniza funguo za magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…