CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Najua wengi tuna malengo ya kumiliki magari lakini shida yetu ni kwamba bado channel za pesa hazijakaa vizuri
kuokoa muda na wakati hatujui kesho yetu unweza ukazima leo paap hujaendesha hata hilo gari,sasa mkombozi nimekuja
Haina haja ya kusubiri sana wakati unaendelea tafuta pesa uje miliki gari,anza kununua funguo kabisa ya gari utalokuja tumia
Funguo hizi zitakufanya uonekane na wewe una gari so kupelekea heshima mtaani,Ushauri wa jinsi ya kuishika natoa bure.
Wateja kumi wa mwanzo nitawapa bure picha za magari hayo ambazo watanunua funguo zake FREEE of Charge.
Usiogope sikutaji siri ni kipaumbele changu.