INAUZWA Nauza furniture

Karibu sana ndugu yangu tumekuja na idea ya kutengeneza samani/furniture za aina tofauti Kwa kuzingatia bei, ubora na thamani halisi kwenye soko.

Tuna bidhaa nyingi na tunatengneza kwenye kiwanda chetu kidogo kilichopo tabata, lengo kuu ni kuwafikia wateja kuhakikisha bei zinakuwa nafuu.

Aidha, tunapokea maelekezo ya mteja kuhusiana na bidhaa anayotaka.

Dhumuni letu ni kuwa fanya wateja wapate bidhaa bora za kisasa na ziendane na vyumba, nyumba wanazoishi.

Tumekuja na bidhaa ambazo zitakuwa rahisi kubeba,imara, zenye ubora na za kisasa tukizingatia soko lililopo na garama alisi.

0767 601018
Karibuni.
 
Iyo ni simple Kwa ajili ya familia ndogo tunayo kiwanda inaenda Kwa 500,000 ni hardwood.

Karibu sana mkuu
 
The Sofa called perfect position plz if you are interested call us 0767601018

Price 200,000TZS per each

 
The Sofa called perfect position plz if you are interested call us 0767601018

Price 200,000TZS per each

View attachment 1841361

1.Wakuu habari za leo, tumewaletea simple open shelf ambayo ni mult purpose unaweza wekea vyombo, vitabu au matumizi mengine.

Inafaa sitting room, dinning room, chumbani na jikoni unaweza kuitumia ofisini au nyumbani
Price 70,000 tuna deliver pia.

2.Tunawaletea Meza ya soft wood hapo juu unaweza ukapigia pasi, ukatumia kuweka laptop, kama coffee table, ukatumia chumbani, sebuleni au jikoni

Price 50, 000 tuna deliver.

0767 601018
 
Bei weka bei zinavutia sana hope zinalast longer

Sent from my Nokia 7.2 using JamiiForums mobile app
Nashukuru Sana bei tuliweka hapo mwanzo ila kutokana na bidhaa kuwa nyingi kulitokea mkanganyiko wa bidhaa na bei.

Tunaomba sana kama kuna kitu umekiona na kukipenda tupigie Kwa namba yetu 0767 601018.

Ili tuweze kutoa bei hapa hapa kwenye jukwaa.

Tunatanguliza Shukrani Kwa kupenda bidhaa zetu.
 
Wadau tumekuja na ofa ya sabasaba hususani kwenye bidhaa zetu za mito na Foronya.

Tuna aina tatu ya mito, mito midogo ya kochi, ya kulalia na mikubwa kabisa ya sitting room.

Bei.
Mito midogo elfu 5,000/Foronya 3500

Mito ya kulalia elfu 8,000/foronya 5000

Mito ya sitting room mikubwa 12,500/foronya 70000

Tunapatikana tabata na tunafanya delivery.

Aidha, tunapokea oda kutokana na chaguo la mteja.

Tupigie 0767 601018







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…