Car4Sale Nauza gari 2,200,000/=

Yeah tour za kutoka Bariadi to Meatu au Bariadi to maswa na maeneo mengine ya karibu hizo Gari zinapigwa mzigo balaa
 
Sawa...
 
Mkuu kumbe gari bado mpya? Ina maana huyo mnunuzi anaiendesha mpaka Musoma? Au anaipandisha kwenye FUSO?
anyway, Hongera mkuu!
 
Mkuu Mimi ni miongoni mwa waliokutia moyo. Hongera sana sana kwakufanikiwa. Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…