-live Wire
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 375
- 192
Yeah tour za kutoka Bariadi to Meatu au Bariadi to maswa na maeneo mengine ya karibu hizo Gari zinapigwa mzigo balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...NDUGU ACHA KUWA NA ROHO MBAYA KWENYE BIASHARA ZA WATU UNAJIFANYA UNAJUA SANA! NA KAMA WEWE UTAKUWA NI MWANAMKE BASI MUMEO ANA SHIDA SANA NA KAMA UTAKUWA NI MWANAUME BASI UTAKUWA UNA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME KWAHIVYO STRESS ZAKO UNAKUJA KUMALIZIA HUMU JF SASA KWA TAARIFA YAKO GARI NIMEISHAUZA NA PICHA NIMEKUWEKEA HAPO PESA NA MKATABA, WEWE ULIONA SIO GARI SASA KATOKEA MTEJA KUTOKA MUSOMA KAIPENDA GARI NA KAINUNUA! JIREKEBISHE
Mkuu kumbe gari bado mpya? Ina maana huyo mnunuzi anaiendesha mpaka Musoma? Au anaipandisha kwenye FUSO?NDUGU ACHA KUWA NA ROHO MBAYA KWENYE BIASHARA ZA WATU UNAJIFANYA UNAJUA SANA! NA KAMA WEWE UTAKUWA NI MWANAMKE BASI MUMEO ANA SHIDA SANA NA KAMA UTAKUWA NI MWANAUME BASI UTAKUWA UNA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME KWAHIVYO STRESS ZAKO UNAKUJA KUMALIZIA HUMU JF SASA KWA TAARIFA YAKO GARI NIMEISHAUZA NA PICHA NIMEKUWEKEA HAPO PESA NA MKATABA, WEWE ULIONA SIO GARI SASA KATOKEA MTEJA KUTOKA MUSOMA KAIPENDA GARI NA KAINUNUA! JIREKEBISHE
Sasa si inategemea kama umeweka mafuta ya kutosha? Ukiweka machache utaishia mikumimkuu naweza kuendesha hadi mbeya nikafika bila shida yoyote...mi naishi mbeya
shida si mafuta tu!Sasa si inategemea kama umeweka mafuta ya kutosha? Ukiweka machache utaishia mikumi
Nakutania boss... Gari ishauzwashida si mafuta tu!
Mkuu Mimi ni miongoni mwa waliokutia moyo. Hongera sana sana kwakufanikiwa. Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.NAWASHUKURU WOTE WALIONITIA MOYO, SIKU YA JUMAPILI TAREHE 20/03/2016 NILIFANIKIWA KUUZA GARI YANGU, MTEJA AMETOKEA MUSOMA AMEIPENDA GARI NA KUAMUA KUINUNUA KWA MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000/=) POLENI KWA WALE BAADHI WALIOIPONDA BIASHARA YANGU, ILA UKWELI NI KWAMBA GARI NIMEISHAIUZA NA NIMEAMBATANISHA PICHA YA MKATABA NA PESA ILIYOLIPWA! AHSANTENI
Duh! Kumbe?Sasa si inategemea kama umeweka mafuta ya kutosha? Ukiweka machache utaishia mikumi
Hata mi nimempa moyo, anatuachaje sasa?Mkuu Mimi ni miongoni mwa waliokutia moyo. Hongera sana sana kwakufanikiwa. Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.