Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Ndio maana Munawar hua anajibu ovyo...
Mkuu ntakutafta
Mkuu ntakutafta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok karibuNdio maana Munawar hua anajibu ovyo...
Mkuu ntakutafta
Usikate tamaa mkuu utapata....bado ipo
Sure huyu jamaa ni mstaarabu sanaUsikate tamaa mkuu utapata....
Nimekupenda kwa busara zako
Ingekua ile kichwa Munawar pasingetosha!!Sure huyu jamaa ni mstaarabu sana
Si uongo mkuu.Mmmmhhhh.... Pandisha bei kidogo ukitaka kuiuza... Anza walau 4m. 2m watu tutaogopa
Dar Es Salaam si mkoa. Ni nchi.Hapo dar ni dubai? sio mkoa?
Chukua ukainyooshe....Umeigonga sana
unamana gani au wasukuma wanapesa Sana ama?sentesi yako tata...iweke vizuri tuelewe.Hii gari ingekua usukumani ungeuza fasta sana! Ila me nimependa hiyo Rim
Ninyoshe put Mimi Anglia mbele kulia kwenye mad guard put hadi mlango wambele.Chukua ukainyooshe....
Mkuu hiyo gari ni ya DIFU?bado ipo
Mmh wasukuma tena?Ni kweli usukumani faster hasa baroadi
Mkuu hizo gari Kule Ndio zimejaa Na carina! Jamaa wanazipenda sana!unamana gani au wasukuma wanapesa Sana ama?sentesi yako tata...iweke vizuri tuelewe.
Ipo pouwa tuNinyoshe put Mimi Anglia mbele kulia kwenye mad guard put hadi mlango wambele.