Car4Sale Nauza gari aina ya IST (namba C) kwa bei ya milioni 6.6. Napatikana Shekilango

vumiliag

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
413
Reaction score
764
Nauza gari aina ya IST namba CLW
  • Bei ni mil 6.6 (inapungua kidogo)
  • Gari ni nzima sana
  • Napatiakana Shekilango nyuma ya ofisi za Shabiby na mawasiliano ni: 0659781878
Madalali plz hapa si mahala penu nyie ni walaliaji hivyo tusichoshane.

 
Samahani wakuuu kwa nitakayemkwaza..

....dalali sihitaji usumbufu wenu plz nayemuhitaji ni mteja sio dalali....nyie ni wasumbufu na mnapenda kupoteza muda mkiangalia masilahi menu tu .....
Yaan hapa dalali si mahala pako mpite kimya kimya plz plz

From my experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…