Car4Sale Nauza gari aina ya IST (namba C) kwa bei ya milioni 6.6. Napatikana Shekilango

Car4Sale Nauza gari aina ya IST (namba C) kwa bei ya milioni 6.6. Napatikana Shekilango

Hivi vigari vinafujo sana barabarani.kikiona upenyo kidogo tu kana overtake kama mwendesha bodaboda.
 
Gari nzuri sana, hope Leo Leo itapata mteja, mwakani muda kama huu nitanunua
 
Back
Top Bottom