maliza nyumba kwanzaHabari wadau.
Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine.
Bei ni milion 12.5 tu
View attachment 1721816View attachment 1721819View attachment 1721820View attachment 1721823
Na wewe tafuta wanyonge uwakamateKaongeze ukachukue
Mpya ina miezi mitatuKwani iyo sio mpya
Post kwenye group la wasap la Wanafunzi, Mtu mzima na akili zake hawezi nunua baby-walker, sijui jaribu ma-groups ya sekondari huko shaaban Robrt na AzaniaHabari wadau.
Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine.
Bei ni milion 12.5 tu
View attachment 1721816View attachment 1721819View attachment 1721820View attachment 1721823
Unadhani kwa gari kama hii ambayo ni imported sio zaidi ya mwezi mmoja ni kiasi ganiPost kwenye group la wasap la Wanafunzi, Mtu mzima na akili zake hawezi nunua baby-walker, sijui jaribu ma-groups ya sekondari huko shaaban Robrt na Azania
ushauri unasema umaskini?Watu kama wewe huwa ni maskini ndio shida hapo
Mkuu kwahio hawa wanaoendesha gari kama hizo hawana akili?Post kwenye group la wasap la Wanafunzi, Mtu mzima na akili zake hawezi nunua baby-walker, sijui jaribu ma-groups ya sekondari huko shaaban Robrt na Azania
Wana akili sana, ndiyo maana nikasema "za wanafunzi"Mkuu kwahio hawa wanaoendesha gari kama hizo hawana akili?
Huyo demu ana nyodo sanaMkuu kwahio hawa wanaoendesha gari kama hizo hawana akili?
Weka email yako wenye shida kweli wakucheki.Habari wadau.