Car4Sale Nauza gari aina ya IST

Car4Sale Nauza gari aina ya IST

Joined
Aug 29, 2022
Posts
58
Reaction score
53
TOYOTA IST
CC1290
MWAKA 2004
FULL DOCOMENT
FULL AC
GARI KALI SANAA
BEI 11ML
KARIBU SANA.

0625004475

IMG-20230119-WA0187.jpg
View attachment 2487947
 
Wakuu hapo juu Kama huhitaji gari unaruhusiwa kujikataa, maana kimfaacho mtu chake, Sasa nyie hamjui biashara au 11mil. Ukiwa na 9.2 pengine atakufikiria ni lini IST mpya ikauzwa 5mil au 6mil, hiyo gari ukiikagua vizuri siyo chini ya 9mil.. tena kauza haraka haraka.

Kama hamjui kitu is better to shut up.
 
Kumbe unaijua vizuri hiyo gari, haya nenda wewe sasa kainunue.
 
Wakuu hapo juu Kama huhitaji gari unaruhusiwa kujikataa, maana kimfaacho mtu chake, Sasa nyie hamjui biashara au 11mil. Ukiwa na 9.2 pengine atakufikiria ni lini IST mpya ikauzwa 5mil au 6mil, hiyo gari ukiikagua vizuri siyo chini ya 9mil.. tena kauza haraka haraka.

Kama hamjui kitu is better to shut up.
Multiple IDs at work.
 
Hiyo gari ni mpya?

Kama sio mpya ina maaana una kubaliana na wadau haiwezi kuuzwa 11m...

IST sasa hivi hazina gharama tena kuzipata na pia soko sio kama zamani walivyo kuwa wana zishambulia...
 
Back
Top Bottom