Car4Sale Nauza gari aina ya IST

Car4Sale Nauza gari aina ya IST

😂😂Boss siyo hivyo vitu vingine jamani tuache ushindani embu ingia kwenye magari used tafuta IST Zinazouzwa M6 zinafika ngap mbona ni mambo ambayo yanaonekana daah
Zipo nyingi tu
 
Nimenunua 7m... kitu mma...
Hongera mkuu kwa kubahatisha hiyo IST nyingi plus usajili huwa ni 12.5mil. na Ile za mkononi nyingi ni 9 au 10 Kama hiyo hapo juu.

7mil umelenga hongera, asikudanganye mtu habari za soko kushuka sijui kupanda. Bei ni zile zile
 
Na hapo ukute ameshashusha mileage teari [emoji38][emoji38][emoji38] then amepiga polish basi wajinga ndiyo waliwao
 
Wakuu hapo juu Kama huhitaji gari unaruhusiwa kujikataa, maana kimfaacho mtu chake, Sasa nyie hamjui biashara au 11mil. Ukiwa na 9.2 pengine atakufikiria ni lini IST mpya ikauzwa 5mil au 6mil, hiyo gari ukiikagua vizuri siyo chini ya 9mil.. tena kauza haraka haraka.

Kama hamjui kitu is better to shut up.
Nonsense, nenda kawalangue washamba wenzio.
 
Dalali ni utasikia nyumba kali, gari kali ukiuona uhalisia sasa aisee hatari na nusu.
Madalali wa kibongo njaa kali. Hiyo mil 11 ukichunguza kwa makini utagundua kilichoipandisha bei ni registration namba E, upuuzi tu.
 
Hiyo gari 6M,regardless reg namba sasa jamaa anapambania apate cha juu hapo.
Go and buy it for 6mil. Amini kwamba 6Mil. Ingesha uzika Wala asingepandisha Uzi hapa jukwaani kuwa Gari inauzwa eleven millions.
 
Mkuu hyo gari huwezi uza kwa hyo bei mzee million 11 namvua mtu crown athletes kabisa au Toyota rava 4 wewe unauza IST 11 M
 
nenda intagram andika jactansafari utapata ist kali sana kwa bei ndogo tu kama hiyo jamaa ameuza sana 7.5 mpaka 8
 
Back
Top Bottom