Nauza Gari aina ya Volks Wagen Polo 2002

Nauza Gari aina ya Volks Wagen Polo 2002

Msingi Hoja

Member
Joined
May 4, 2011
Posts
17
Reaction score
2
Gari hii nimetembelea miezi minane na ipo kwenye hali nzuri sana plate namba yake ni BCV.
Kwa yeyote ambaye atakua anahitaji tuwasiliane kwa namba 0715251100.
Bei ni maelewano.
Karibuni.
 
Mkuu mambo ya picha zinahusika. Si uanjua biashara ni matangazo aka "to see is to believe". Zimwage hapa
 
Gari hii nimetembelea miezi minane na ipo kwenye hali nzuri sana plate namba yake ni BCV.
Kwa yeyote ambaye atakua anahitaji tuwasiliane kwa namba 0715251100.
Bei ni maelewano.
Karibuni.
Weka picha hapa tafadhari tujiridhishe!!!!!!!!!
 
doule cabin au single cabin? Namaanisha three doors au two doors?
 
Back
Top Bottom