Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

UKIFANYA PRO KATIKA BIASHARA YAKO BASI ZINGATIA MISINGI,
WEKA PICHA YA BIDHAA
WEKA BEI ELEKEZI YA BIDHAA
NA MAELEZO MAFUPI KUHUSU BIDHAA HIYO.

KILA LA KHERI MKUU, MOLA MLEZI AFANYE WEPESI KATIKA BIASHARA YAKO.
Tofauti na hapo anatupigia kelele tu
 
Huku mitandaoni utapata stress Tu ukianza kutangaza biashara yako..
Kejeli zinakuwa nyingi na utavunjwa moyo Tu
 
Bei yake mil 14.. haina kipengele cha aina yoyote ile.. samahani kwa ubize na ukimya nipo na ibadilisha mfumo wa gesi na kuirudisha mfumo wa mafuta pekeyake
 
Attachments

  • IMG-20240601-WA0052.jpg
    IMG-20240601-WA0052.jpg
    162.8 KB · Views: 7
  • IMG-20240601-WA0051.jpg
    IMG-20240601-WA0051.jpg
    190.5 KB · Views: 9
Bei yake mil 14.. haina kipengele cha aina yoyote ile.. samahani kwa ubize na ukimya nipo na ibadilisha mfumo wa gesi na kuirudisha mfumo wa mafuta pekeyake
Kwanin unatoa mfumo wa Gesi?
Una shida?
Na huko kugusa gusa Engine hakuwez Kuleta shida?
 
Kwanin unatoa mfumo wa Gesi?
Una shida?
Na huko kugusa gusa Engine hakuwez Kuleta shida?
Hapana hauna shida kuiuza na mfumo wa gesi ni gharama zaidi maana kuuweka tu umenicost almost 2M na point zake .. nahisi nikiubakiza utanisumbua kwenye kuuza
 
Back
Top Bottom