Car4Sale Nauza gari, Milioni 60 tu.. Vyuma vimekaza!

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Habari zenu ndugu zangu wapendwa..

Nina ndugu yangu anauza gari hii pichani. Ni mpya kabisa. Bei Tshs. Milioni 60 tu.

Karibu kwa mawasiliano (namba ya muuzaji): 0655 162 686.



Mnaweza kucheki pia gari hili ninalouza kwa Milioni 9.5 pekee >> Gari lingine hili linahitaji Milioni 9.5 tu
 
Acheni utani na hela nyie watanzania mlioko mjini!
 
Yani dada unasema 65 tu, sababu vyuma vimekaza? Mbona ndiobei yake hizo.
Ni milioni 60 mkuu. Nimesahihisha. Bei niliitaja sivyo.
Unaitaka?!
 
Kwa nini asimpe dereva.akachukua hesabu 80,000.?
 
Kwani bei ya izo gari ni sh ngapi kabla vyuma havijakaza?
 
Imetembea km ngapi? Na engine yake ikoje..mlango wa nyuma unafungukaje? Kwa juu au Kwa pembeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…