Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

-Kupiga rangi complete kabisa na vioo 3,000,000/=
-kuweka floor mpya 700,000/=
-kurepair siti 850,000/=
-Side mirror, wiper, vitasa vya milango 250,000/=
-taa mbele, nyuma 250,000/= au tuweke za Land Rover 80,000/=
-engine na gear box tunafanya modification tunaweka ya 1kz au 3l used kwa Saddam 4,000,000/= au 6,500,000/=

Hapo ukipata mdhamini mwenye 12,000,000/= kishua hyo chuma inakua mpya.

Chombo ikikaa mkao tunaipa root ya mwanza kahama jion mpaka asubuh jua likiwaka chuma inapaki
 
Hili gari lipo Hungumalwa kama location iko sawa. Fanya hivi bro mi nashida na bodi ya Toyota Hiace dungu liwe kwenye hali nzuri tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…