Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo).
Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante

View attachment 2042777

View attachment 2042778

View attachment 2042779

View attachment 2042780

View attachment 2042781

View attachment 2042782
-Kupiga rangi complete kabisa na vioo 3,000,000/=
-kuweka floor mpya 700,000/=
-kurepair siti 850,000/=
-Side mirror, wiper, vitasa vya milango 250,000/=
-taa mbele, nyuma 250,000/= au tuweke za Land Rover 80,000/=
-engine na gear box tunafanya modification tunaweka ya 1kz au 3l used kwa Saddam 4,000,000/= au 6,500,000/=

Hapo ukipata mdhamini mwenye 12,000,000/= kishua hyo chuma inakua mpya.

Chombo ikikaa mkao tunaipa root ya mwanza kahama jion mpaka asubuh jua likiwaka chuma inapaki
 
Hili gari lipo Hungumalwa kama location iko sawa. Fanya hivi bro mi nashida na bodi ya Toyota Hiace dungu liwe kwenye hali nzuri tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom