L luhinda Member Joined May 28, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Nov 11, 2010 #1 Habari wana jamii Nauza gari aina ya toyota Ipsum tourer 1999, nimeitumia kwa muda wa miezi 11 toka niiagize japan, imetembea km 150,000 ipo ktk hali nzuri sana, bei 12Mil serious buyers contact 0712 392134
Habari wana jamii Nauza gari aina ya toyota Ipsum tourer 1999, nimeitumia kwa muda wa miezi 11 toka niiagize japan, imetembea km 150,000 ipo ktk hali nzuri sana, bei 12Mil serious buyers contact 0712 392134
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 51 Nov 11, 2010 #2 weka picha mkuu:bowl:
mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 68 Nov 12, 2010 #3 ndugu weka picha maneno peke yake hayauziki ukiweka picha inakupa uwanja mkubwa wa kupata wateja lakini maneno tu hayo peke yake hayajitoshelezi
ndugu weka picha maneno peke yake hayauziki ukiweka picha inakupa uwanja mkubwa wa kupata wateja lakini maneno tu hayo peke yake hayajitoshelezi