Nauza gari toyota ipsum

Nauza gari toyota ipsum

luhinda

Member
Joined
May 28, 2010
Posts
5
Reaction score
0
Habari wana jamii

Nauza gari aina ya toyota Ipsum tourer 1999, nimeitumia kwa muda wa miezi 11 toka niiagize japan, imetembea km 150,000 ipo ktk hali nzuri sana, bei 12Mil
serious buyers contact 0712 392134
 
ndugu weka picha maneno peke yake hayauziki ukiweka picha inakupa uwanja mkubwa wa kupata wateja lakini maneno tu hayo peke yake hayajitoshelezi
 
Back
Top Bottom