Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Location & Car status details please; (road licence, bima, ushuru)! offer tzs 5m CASH
Weka picha na detail kuna mtu anaitakaLocation & Car status details please; (road licence, bima, ushuru)! offer tzs 5m CASH
Kimtokacho MTU ndicho kilicho ujaa ubongo wake. Mleta mada anayatumia hayo maneno bold kufikiriaHalafu gari yenyewe ina makalio peke yake
Inaelekea gari hii haina sura, ni imegongwa kwa mbele! Mwenye gari tupia pembe nne tuione gari kamili!Weka picha na detail kuna mtu anaitaka
UNAJUA KUNA WATU HUWA WANAKURUPUKA KUPOST MATANGAZO KTK MITANDAO,MWINGINE HANA UHAKIKA N'A GARI AU BIDHAAA INAYOUZIKA ANA POST....Si muuzaji huyo. Ni tapeli tu.
Gari bwabwa hili. Si la kuendekezaHalafu gari yenyewe ina makalio peke yake
Maji ya mwarabu ishakuwa tabu....Watu wanajitahidi haraka iwezekanavyo kusukuma hizi gari Verossa, chaser, Cresta na haina hiyo. Hivi tatizo ni nini Wadau.?
Ahaha manake watu wanapambana kweli kuzisukumaMaji ya mwarabu ishakuwa tabu....
Kaka hii gari ni ya kwangu.sio mbovu Bali nina matatizo binafsi.haidaiwi.UNAJUA KUNA WATU HUWA WANAKURUPUKA KUPOST MATANGAZO KTK MITANDAO,MWINGINE HANA UHAKIKA N'A GARI AU BIDHAAA INAYOUZIKA ANA POST....
KUNA MPUZ MMOJA ALIPOST SPACIO KUPATANA AKADAI NI STARLET INAUZWA KUMPIGIA SM AKAWA ANASEMA GARI HYO NI STARLET.....WAKATI NI SPACIO....
KITU KINGINE UTAKUTA MTU ANAWEKA TANGAZO ALAFU HANA DETAILS ZA KUTOSHA YAANI HATA MMILIKI WA HALALI YA MALI HAMJUI....KWELI WATU AINA HII GUWA WANAZINGUA SANA
OVA