Car4Sale Nauza gari Toyota Verossa

Car4Sale Nauza gari Toyota Verossa

Maji ya mwarabu ndio unamaanisha nn mkuu Asprin
Maji ya mwarabu ni Petrol haya magari ya GX 110 yanabugia sana wese 1980cc halafu inabeba watu wa5 kwa usawa huu wa Magufuli kujaza lita 15 kwa 30,000/ kila siku ndicho watu wanaogopa.
halafu huenda lita 1 ya petrol ni kwa kilometa 8 au 6 kwa foleni za Dar
 
QUOTE="Mwaikibaki, post: 18814304, member: 279823"]Mkuu kama 3.5 niambie tuongee.[/QUOTE]
man power paki tu nyumban mwingine ata sema ana milion moja 2
 
Bei ni Millioni 6. Ipo Magomeni Kagera Dar es Salaam.

Wasiliana kwa namba 0714171776

aa98f2254175a9ba5974d14bf7e2e581.jpg

View attachment 434606View attachment 434607
Gari nzuri. Mkuu kaitangaze kupatana.com haitakaa hata siku nzima. Facebook, insta na kwingine utakutana na under 18 weng!!/wa ugali wa shikamoo...majibu ya ovyo!
 
Back
Top Bottom