Car4Sale Nauza gari Toyota Verossa

man power

Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
50
Reaction score
54
Bei ni Millioni 6. Ipo Magomeni Kagera Dar es Salaam.

Wasiliana kwa namba 0714171776


 
Maelezo yako hayajitosheleza unaandika kisela sela katika biashara kama hauna kauli za kibiashara na maelezo ya kujtosheleza wapeni madalali maana hujatoa info muhimu zaid ya pet number na rang ya gar
 
Halafu gari yenyewe ina makalio peke yake
 
Si muuzaji huyo. Ni tapeli tu.
UNAJUA KUNA WATU HUWA WANAKURUPUKA KUPOST MATANGAZO KTK MITANDAO,MWINGINE HANA UHAKIKA N'A GARI AU BIDHAAA INAYOUZIKA ANA POST....
KUNA MPUZ MMOJA ALIPOST SPACIO KUPATANA AKADAI NI STARLET INAUZWA KUMPIGIA SM AKAWA ANASEMA GARI HYO NI STARLET.....WAKATI NI SPACIO....
KITU KINGINE UTAKUTA MTU ANAWEKA TANGAZO ALAFU HANA DETAILS ZA KUTOSHA YAANI HATA MMILIKI WA HALALI YA MALI HAMJUI....KWELI WATU AINA HII GUWA WANAZINGUA SANA

OVA
 
Watu wanajitahidi haraka iwezekanavyo kusukuma hizi gari Verossa, chaser, Cresta na haina hiyo. Hivi tatizo ni nini Wadau.?
 
Reactions: MC7
Kaka hii gari ni ya kwangu.sio mbovu Bali nina matatizo binafsi.haidaiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…