Car4Sale Nauza gari Toyota Vitz

Car4Sale Nauza gari Toyota Vitz

Bei za instagram ni tofauti ukija kitaa
Si mbaya potential buyer ana option ya kwenda kununua mahala ana ona ata strike a better deal.. most sellers huuza gari zikiwa na matatizo (either electrical issues or mechanical issues hasa kwenye injini na transmission, lakini pia ajali) so mtu anauza ili aepuke shida (ikamfie mwingine) so si uzi with this motive.
 
EEh watu hawana huruma kabisa....mtu anauza kitu chake alafu mnaanza kumpangia bei...hehehehehe
 
Hello, habarini wana JF, nauza gari.

Maker: Toyota
Model: vitz clavia
Year of manuf: 2004
Engine code: 2SZ
Engine displacement (cc):1298
Transmission: Automatic (CVT)
Colour: Silver.
Condition:in very good condition, and well maintained.
All system are working ie Ac system, audio system, ABS, airbag, its electronic steering system (no warning light)

Price 7m, (negotiate kidogo)

Serious buyer ni PMView attachment 2286056View attachment 2286057View attachment 2286058View attachment 2286059View attachment 2286060View attachment 2286061
Mkuu hii gari kama unaweza kushuka hadi 4m naomba tuwasiliane
 
Asante mpendwa kwa offer yako nzuri, yes ni good money, but ipo below ya selling price.

Wakuu siuzi gari likamwalibikie mtu, i sell it because i want to buy a new hybrid car. So siwezi kaa na gari mbili at once.

And to Anybody ataenunua hii Gari na mpa warrant ya kutumia hii gari six months.. ikisumbua injini au gear box anirudishie nampa pesa yake..

Major service ya hii Gari ni kwamba September 2021 niliharibiwa injini ya hii Gari baada ya fundu kubadirisha crankshaft seal na kusahau kurudishia key ya crankshaft pulley.. so alivowasha injini. Piston na valve zilikutana injini ikabindisha valve.. so nilibidi ku replace engine from wajapan fulan hivi wanauza injini pale ilala, so baada ya ku install injini car ilikaa fresh bila shida yoyote na ni daily driven car, super reliable.
View attachment 2294671
 
Attachments

  • Screenshot_20220710-114510.jpg
    Screenshot_20220710-114510.jpg
    26.5 KB · Views: 50
Asante mpendwa kwa offer yako nzuri, yes ni good money, but ipo below ya selling price.

Wakuu siuzi gari likamwalibikie mtu, i sell it because i want to buy a new hybrid car. So siwezi kaa na gari mbili at once.

And to Anybody ataenunua hii Gari na mpa warrant ya kutumia hii gari six months.. ikisumbua injini au gear box anirudishie nampa pesa yake..

Major service ya hii Gari ni kwamba September 2021 niliharibiwa injini ya hii Gari baada ya fundu kubadirisha crankshaft seal na kusahau kurudishia key ya crankshaft pulley.. so alivowasha injini. Piston na valve zilikutana injini ikabindisha valve.. so nilibidi ku replace engine from wajapan fulan hivi wanauza injini pale ilala, so baada ya ku install injini car ilikaa fresh bila shida yoyote na ni daily driven car, super reliable.
View attachment 2294671
Hello, Safari unayo ndefu Sana, ungeyaeleza hayo, mapema basi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Asante mpendwa kwa offer yako nzuri, yes ni good money, but ipo below ya selling price.

Wakuu siuzi gari likamwalibikie mtu, i sell it because i want to buy a new hybrid car. So siwezi kaa na gari mbili at once.

And to Anybody ataenunua hii Gari na mpa warrant ya kutumia hii gari six months.. ikisumbua injini au gear box anirudishie nampa pesa yake..

Major service ya hii Gari ni kwamba September 2021 niliharibiwa injini ya hii Gari baada ya fundu kubadirisha crankshaft seal na kusahau kurudishia key ya crankshaft pulley.. so alivowasha injini. Piston na valve zilikutana injini ikabindisha valve.. so nilibidi ku replace engine from wajapan fulan hivi wanauza injini pale ilala, so baada ya ku install injini car ilikaa fresh bila shida yoyote na ni daily driven car, super reliable.
View attachment 2294671
Umeshaifunga biashara mwenyewe. Kumbe ni used engine!!!. Ni replacement!!!
 
Hiyo replaced engine yaweza kuwa nzuri/bora kuliko hiyo iliyokuja na gari.

Niliwahi kuharibikiwa na gearbox ya noah miaka ya nyuma huko, nikanunua gearbox complete. It was much better kuliko iliyokuja na gari. Nikaendesha two yrs nikaweka sokoni.
 
Umeshaifunga biashara mwenyewe. Kumbe ni used engine!!!. Ni replacement!!!
Hii comment imenifurahisha, so ulitaka replaced engine iweje mkuu? Yet am not a fun wa engine rebuild kwakua overhaul kitz zinazokuja Tz nyingi ni substandard....so ni bora uka source engine ambayo ni stock kutoka kwa wauzaji ambao ni reliable na engine yenye good condition maisha yakawa marahisi....
 
Asante mpendwa kwa offer yako nzuri, yes ni good money, but ipo below ya selling price.

Wakuu siuzi gari likamwalibikie mtu, i sell it because i want to buy a new hybrid car. So siwezi kaa na gari mbili at once.

And to Anybody ataenunua hii Gari na mpa warrant ya kutumia hii gari six months.. ikisumbua injini au gear box anirudishie nampa pesa yake..

Major service ya hii Gari ni kwamba September 2021 niliharibiwa injini ya hii Gari baada ya fundu kubadirisha crankshaft seal na kusahau kurudishia key ya crankshaft pulley.. so alivowasha injini. Piston na valve zilikutana injini ikabindisha valve.. so nilibidi ku replace engine from wajapan fulan hivi wanauza injini pale ilala, so baada ya ku install injini car ilikaa fresh bila shida yoyote na ni daily driven car, super reliable.
View attachment 2294671
Tatizo ni bei ungekuwa ishatoka
 
2831BC90-7853-4FD9-9AA7-78A146DB5153.jpeg
 
Attachments

  • 4352624F-DAED-4190-BF0F-6442DF181775.jpeg
    4352624F-DAED-4190-BF0F-6442DF181775.jpeg
    78.2 KB · Views: 33
  • 5055A058-0645-4544-BBF8-A2B7166B0307.jpeg
    5055A058-0645-4544-BBF8-A2B7166B0307.jpeg
    89.1 KB · Views: 32
  • 91C6C535-4532-451D-ACA4-B8756AC660A7.jpeg
    91C6C535-4532-451D-ACA4-B8756AC660A7.jpeg
    80.6 KB · Views: 31
  • 07F09013-7B48-4FD0-865D-0861F8255F8B.jpeg
    07F09013-7B48-4FD0-865D-0861F8255F8B.jpeg
    91.6 KB · Views: 30
  • 40A51C2B-54F1-427B-BCF8-0E09C1CE3CDD.jpeg
    40A51C2B-54F1-427B-BCF8-0E09C1CE3CDD.jpeg
    92.4 KB · Views: 29
  • 2EB0362D-93F0-4C09-ADF4-19679DB56C4F.jpeg
    2EB0362D-93F0-4C09-ADF4-19679DB56C4F.jpeg
    65.7 KB · Views: 29
  • 9EB2E344-E4E4-47C3-B16C-800BCBC3EF8A.jpeg
    9EB2E344-E4E4-47C3-B16C-800BCBC3EF8A.jpeg
    100.3 KB · Views: 27
  • AAF193DC-A540-4239-87AB-4274DB5E3AE8.jpeg
    AAF193DC-A540-4239-87AB-4274DB5E3AE8.jpeg
    94.1 KB · Views: 26
Back
Top Bottom