Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakuna gari inaitwa Harrier Lexus. Kuna matoleo yanayofanana kama Toyota Harrier na kuna Lexus RX. Hizi ni gari mbili tofauti, moja inatengenezwa na Toyota, na nyingine inatengenezwa na Lexus ambayo pia ni kampuni ya Toyota. Baadhi ya spare zinaingiliana, lakini kuna spare kama radiator na nyinginezo haziingiliani. Lexus RX ni luxury zaidi ya Toyota Harrier.PRICE UPDATED: 6,800,000
Model: Toyota HARRIER Lexus
Registration Number: A....
Colour:Silver
Engine: Petrol 2994cc VTI
Year 1999
Seat Capacity 5
Music redio
Full AC
Full documents (File)
Clean Seats
Trans Automatic
Imported from Japan
Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
Toyona Harrier old modelMkuu hakuna gari inaitwa Harrier Lexus. Kuna matoleo yanayofanana kama Toyota Harrier na kuna Lexus RX. Hizi ni gari mbili tofauti, moja inatengenezwa na Toyota, na nyingine inatengenezwa na Lexus ambayo pia ni kampuno ya Toyota. Baadhi ya spear zinaingiliana, lakini kuna spear kama radiator na nyinginezo haziingiliani. Lexus RX ni luxury zaidi ya Toyota Harrier.
Ni sawa na Mercedes Benz kuna matoleo au models zao wanatengeneza pia AMG na sio Mercedes zote ni AMG.
Hiyo gari yako ni Toyota Harrier, na namna nzuri ya kuitambua ni kutumia hicho kioo kwenye boneti. Lexus RX huwa hazina kioo kwenye boneti.
Sure, first generationToyona Harrier old model