Ulivyo sema gari liko moshi ndo nikaishiwa pumiziSalaam wakuu.
Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road.
Gari ni manual transmission....Gear.
Fuel consumption 1400cc......
Engine safi.....
Tyre ziko poa fowl.....
Seat za watu tano.....
Gari ni Imara sana.
Gari Ipo moshi.
Bei ni shilingi 4,900,000 Fixed.
Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele. Njoo na fundi wako kabisa ya kuwasha na kuondoka.
Biashara kwa anayehitaji PM iko blank.
Hizi gari ni roho ya paka ila ttzo kwa sasa ivi zishapitwa na wakatiSalaam wakuu.
Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road.
Gari ni manual transmission....Gear.
Fuel consumption 1400cc......
Engine safi.....
Tyre ziko poa fowl.....
Seat za watu tano.....
Gari ni Imara sana.
Gari Ipo moshi.
Bei ni shilingi 4,900,000 Fixed.
Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele. Njoo na fundi wako kabisa ya kuwasha na kuondoka.
Biashara kwa anayehitaji PM iko blank.
πππ gari roho ya paka hii, kuhusu kupitwa na wakati ni wewe tu kuifanyia modification mbona gari kali sana.Hizi gari ni roho ya paka ila ttzo kwa sasa ivi zishapitwa na wakati
Mzee wangu alikua anayo mpk ikafanana nae yni akiwa mbali vipi utamjua tu hhhhhhhh