Wapi lipo?Nauza godoro la 3 kwa 6 inch 6 kwa 55K ni jipya halijawahi kutumika kabisa
View attachment 3387147
Lipo kibo kimara namba hizi apa 0614865480Wapi lipo?
Nipo kimara kiboUko wapi mkuu
Nilikuwa nalihitaji ila kusafarisha naona itanicost, kulitoa bukoba sio mchezo ujue.Nauza godoro la 3 kwa 6 inch 6 kwa 55K ni jipya halijawahi kutumika kabisa
View attachment 3387147
Kaka hili godoro nililetewa sema shida kitanda changu no Cha 4 kwa 6 godoro hali kai vizuri kwenye kitanda ndo maana nimeamua tu kuliuzaUmelichomoa wapi Mkuu? Hope utakabidhi na risiti kumuepusha mnunuzi na usumbufu wa baadaye.
Hivi sasa ni kiwanda gani kinaongoza kwa ubora wa magodo
Wew upo wapi??Nilikuwa nalihitaji ila kusafarisha naona itanicost, kulitoa bukoba sio mchezo ujue.
Bado lipo?Dodoma
Hapana mimi siyo muuzaji, mwenyewe ni 👇Bado lipo?
Nauza godoro la 3 kwa 6 inch 6 kwa 55K ni jipya halijawahi kutumika kabisa
View attachment 3387147