Nauza godoro la 3 kwa 6 kwa 55k. Ni jipya halijatumika kabisa

Hivi sasa ni kiwanda gani kinaongoza kwa ubora wa magodoro
 
Umelichomoa wapi Mkuu? Hope utakabidhi na risiti kumuepusha mnunuzi na usumbufu wa baadaye.
Kaka hili godoro nililetewa sema shida kitanda changu no Cha 4 kwa 6 godoro hali kai vizuri kwenye kitanda ndo maana nimeamua tu kuliuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…