Car4Sale Nauza Harrier Old Model

Mkuu naomba uongezee taarifa zaidi kuhusu:
mileage,
kama ishawahi kupata ajali,
kama ishawahi kubadilishwa rangi,
kama engine ishawahi kushushwa/kufanyiwa marekebisho yoyote.
Hii engine ina matunzo ya hali ya juu kwa wakati hata oil ni zile expensive tu inawekewa. Haijawahi kuguswa hata kidogo iwe kwa rangi ama lolote. Ipo kama ilivyotoka Yokohama.

Gari iko indoors mara nyingi inaenda kanisani na kazini mara moja moja sababu kuna IST ya ziada.
 
Chief: nje ya Mada tajwa hapo juu.
Naomba unasaidie kutoa walau Darasa kwa uchache juu ya JBL premium Sound system.
Mkuu kwa baadhi ya matoleo ya gari za Toyota alizouza marekani esp harrier hii ikiwa ni 1st generation alijitahidi kuboresha interiors na miongoni mwa vitu alivyofanya ni kuweka muziki wa gari ambao ni wa hadhi ya juu.

Miongoni mwa kampuni ambazo aliwahi kufanya nazo kazi ni hao JBL ni kampuni kongwe ya kimarekani inayojihusisha na vyombo vya muziki. So JBL ndio wamefunga speakers setup ya humo ndani ili kuleta ladha ya pekee ya muziki wa ndani ya gari. Ni sorround system ya speaker 9!
 
Mkuu, heshima yako, kweli magari unayajua.

Na hio JBL sound hata kwenye v8 LC200 ya 2016-2020 namo amehusika haswa. Sound ni good quality na hapo wala hujafanya any modifications.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…