Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba uongezee taarifa zaidi kuhusu:Ndio uwezo wetu ulipo! Au unataka ulipie porsche cayenne
Hii engine ina matunzo ya hali ya juu kwa wakati hata oil ni zile expensive tu inawekewa. Haijawahi kuguswa hata kidogo iwe kwa rangi ama lolote. Ipo kama ilivyotoka Yokohama.Mkuu naomba uongezee taarifa zaidi kuhusu:
mileage,
kama ishawahi kupata ajali,
kama ishawahi kubadilishwa rangi,
kama engine ishawahi kushushwa/kufanyiwa marekebisho yoyote.
Mkuu nakuletea mteja kwa 12.5milNatumai nimekujibu na nimeedit pale juu kwa faida ya wengi
Basi usiwaze ngoja tutawasilianaHio bei ni ya harrier namba C mkuu! Labda nikupe ya namba C tumpe huyo mteja
Umeonyesha ukomavu sana Mkuu, wangekuwa Wavulana wa hapa JF wangeanzisha ligi ya matusi na hao watoto waliojipachikia bei zao. Lkn kwa busara na ukongwe wako umeweka mambo Clear bila kelele. Super sana mkongwe mwenzetuBei halisi ni 15M
Eeh ndio utuuzima mkuu utuuzima dawa!Umeonyesha ukomavu sana Mkuu, wangekuwa Wavulana wa hapa JF wangeanzisha ligi ya matusi na hao watoto waliojipachikia bei zao. Lkn kwa busara na ukongwe wako umeweka mambo Clear bila kelele. Super sana mkongwe mwenzetu
Mkuu kwa baadhi ya matoleo ya gari za Toyota alizouza marekani esp harrier hii ikiwa ni 1st generation alijitahidi kuboresha interiors na miongoni mwa vitu alivyofanya ni kuweka muziki wa gari ambao ni wa hadhi ya juu.Chief: nje ya Mada tajwa hapo juu.
Naomba unasaidie kutoa walau Darasa kwa uchache juu ya JBL premium Sound system.
Mkuu, heshima yako, kweli magari unayajua.Mkuu kwa baadhi ya matoleo ya gari za Toyota alizouza marekani esp harrier hii ikiwa ni 1st generation alijitahidi kuboresha interiors na miongoni mwa vitu alivyofanya ni kuweka muziki wa gari ambao ni wa hadhi ya juu.
Miongoni mwa kampuni ambazo aliwahi kufanya nazo kazi ni hao JBL ni kampuni kongwe ya kimarekani inayojihusisha na vyombo vya muziki. So JBL ndio wamefunga speakers setup ya humo ndani ili kuleta ladha ya pekee ya muziki wa ndani ya gari. Ni sorround system ya speaker 9!
Mule ni 14 speakers sorround soundMkuu, heshima yako, kweli magari unayajua.
Na hio JBL sound hata kwenye v8 LC200 ya 2016-2020 namo amehusika haswa. Sound ni good quality na hapo wala hujafanya any modifications.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante MkuuMkuu kwa baadhi ya matoleo ya gari za Toyota alizouza marekani esp harrier hii ikiwa ni 1st generation alijitahidi kuboresha interiors na miongoni mwa vitu alivyofanya ni kuweka muziki wa gari ambao ni wa hadhi ya juu.
Miongoni mwa kampuni ambazo aliwahi kufanya nazo kazi ni hao JBL ni kampuni kongwe ya kimarekani inayojihusisha na vyombo vya muziki. So JBL ndio wamefunga speakers setup ya humo ndani ili kuleta ladha ya pekee ya muziki wa ndani ya gari. Ni sorround system ya speaker 9!