tax services
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 403
- 328
- Thread starter
- #241
Gar ipo humu hii
2003
8.5m
2003
8.5m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Metumiwa hivyo hivyo ni namba BFHii prado mbona umeficha namba?
MhhhNahitaji toyota Runx au Toyota Allex kwa Mwanza
Nadhani unamaanisha SOLDSolid BMW
YesNadhani unamaanisha SOLD
Inabidi alipe ngapi tax servicesHaya mzee wa Solid tax services nakufuatilia
[emoji1] [emoji1] mesoma sana physics mkuu sema nimeangukia huku mkuuInabidi alipe ngapi tax services
Nataka allion ipo kwny hari nzuri nna M6Bei ninazo tja hapo chini zinatoka kwa wamiliki wenyewe me sijaongeza chochote kama mtu utahtaji Gari na unaona bei kubwa basi nitakukutanisha na mwenye gari ili muweze kuzungumza wawili na endapo mtafika muafaka basi mnunuaji utanchangia kidogo pamoja na mwenye gari ili maisha yaende
Pia kwa wanaohtaji kuagiza magari nje
Iwe UK ,JAPAN , AMERICA, DUBAI chini ya kampuni makini na wazoefu kabisa mnakarbishwa utaagizwa gar uipendayo kwa muda muafaka kila kitu utalpia mwenyewe kuanzia invoice itakayotoka japan adi ushuhuru wa bandarin.
Pia kama una gari unauza unaweza nichek utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza
Karibuni jina langu naitwa Yohana
Mobile : 0673263071
Location: Kijitonyama View attachment 808955View attachment 808956View attachment 808957View attachment 808959
Toyota Allion
Mwaka 2002
Cc 1700
Bei 8,500,000
Kwa allion mkuu upo chini sana kwa allionNataka allion ipo kwny hari nzuri nna M6