HiyooEmbu weka picha na cc zake nione maana sitaki gari inayobugia mafuta kama bomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota vitz
Mkuu tax services nataka Raum , allex, oppa ,wish au nissan extrail Nina million sita (6mil) napatikana Singida ! Nikipata namba c sio mbaya! Iwe kwenye hali nzuri, isiwe imerudiwa Rangi, haina rekodi za ajali! Ukipata Rangi nyeusi itakuwa powa sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pow mkuu , namngonjea anitafutieMkuu ukishamalizana na tax services nicheki nkuletee mpaka Singida..
Asante.
Ukweli ni kwamba unamuharibia mwenzio uzi wake, acha ubishi wa kijinga..... Kafungue uzi wako wa jokes.Hasira zako za kukosa vyuma usizilete humu Jf, utakuja kushika na mavi kwa kuchamba kwingi... tehteehhh
Nikweli mkuu, hata mimi ninatambua kwamba nina muharibia jamaa biashara yake, kwasababu mimi ninamuonea wivu kwenye hii biashara. Na sababu nyingine ni kwakua sijawahi kumiliki gari zaidi ya baiskeli.Ukweli ni kwamba unamuharibia mwenzio uzi wake, acha ubishi wa kijinga..... Kafungue uzi wako wa jokes.
Sent using Jamii Forums mobile app