Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Embu weka picha na cc zake nione maana sitaki gari inayobugia mafuta kama bomba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyoo
IMG-20180820-WA0031.jpg
FB_IMG_1534573198683.jpg
FB_IMG_1534573193733.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tax services nataka Raum , allex, oppa ,wish au nissan extrail Nina million sita (6mil) napatikana Singida ! Nikipata namba c sio mbaya! Iwe kwenye hali nzuri, isiwe imerudiwa Rangi, haina rekodi za ajali! Ukipata Rangi nyeusi itakuwa powa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ukishamalizana na tax services nicheki nkuletee mpaka Singida..
Asante.
 
Ukweli ni kwamba unamuharibia mwenzio uzi wake, acha ubishi wa kijinga..... Kafungue uzi wako wa jokes.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu, hata mimi ninatambua kwamba nina muharibia jamaa biashara yake, kwasababu mimi ninamuonea wivu kwenye hii biashara. Na sababu nyingine ni kwakua sijawahi kumiliki gari zaidi ya baiskeli.
Nadhani umeridhika tafadhali....[emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom