Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Waungwana hivi iliyorudiwa rangi ina shida gani naomba kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudiwa rangi kuna maana nyingi, oengine gari ilishwahi kugongwa hivyo kunyooshwa nabkupakwa rangi upya kwa ajili ya kuficha makosa au pengine body ilishaanza kuchoka yaan halikutunzwa vizur sasa mtu anapaka rangibkwa ajilibya kufanya lionekane jipya hivyo swali linaloulizwa kuhus rangi linamaana sana japo ni vyema anayeuza akwambie ukweli tu, kusud ujue unachukua kitu cha dizain gank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kama WATAKA AGIZA GARI au una gari unauza unaweza nichek utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza

Call ,whatsApp
0673263071

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Injini ikiwa poa ata km imerudiwa Rangi kwangu Mimi sioni shida mkuu! Japo kun mwingine kweli huwa anachukulia kigezo cha undervalue bidhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota Vitz
2001
Cc 1290
3.5 M
Imepigwa Rangi
A/c safi aina shida yoyote kiufundi
Gari ipo kibaha kuanzi kesho jioni itakua mjin hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…