Mlamba Chumvi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 408
- 409
Kurudiwa rangi kuna maana nyingi, oengine gari ilishwahi kugongwa hivyo kunyooshwa nabkupakwa rangi upya kwa ajili ya kuficha makosa au pengine body ilishaanza kuchoka yaan halikutunzwa vizur sasa mtu anapaka rangibkwa ajilibya kufanya lionekane jipya hivyo swali linaloulizwa kuhus rangi linamaana sana japo ni vyema anayeuza akwambie ukweli tu, kusud ujue unachukua kitu cha dizain gank
Sent using Jamii Forums mobile app