Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Nakutabiria maisha makubwa sana maishani mwako. Amini hili nisemalo.
 
Vitz old model
1999
Cc1290
A/C
New tyre
Akina shida yoyote
3.5M
 
Pia kama WATAKA AGIZA GARI au una gari unauza unaweza nichek PM AU KWENYE HIYO NAMBA YANGU CHINI utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza

Call ,whatsApp
0673263071
 
Dah aisee nimeamini kujenga ni kazi kuliko kununua gari. 95% ya gari zinazouzwa hapa gharama zake hazijafikia bei ya vigae tu nilivyotumia kupaulia nyumba yangu
Kweli mkuu, nikilinganisha gharama za ujenzi wa nyumba na hizi bei za magari, duh soon ile car parking yangu niyaitendea haki.
 
Salama mkuu? Hiyo canter tiper bado ipo? Kama ipo weka bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…