Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Tax service mbona kule mwenzako kaweka na bei gari hiyo hiyo ni milioni 40
km imeshuka tuelezeni
Mwenye gari ndio alivyoniambia lkn nilimwambia kwa hyoo bei ngumu labda ingekua ya diesel lkn mteja serious akikutana na mwenyewe wanaweza elewana vzuri ndio maana me sikuweka bei niliona hyoo biashara ngumu
 
Chaser Reffine
4 cylinder
Ingine ndogo
Bei 5,000,000

Hii ipo poa sana yani kama mpyaa
IMG-20180722-WA0002.jpg
IMG-20180722-WA0004.jpg
IMG-20180722-WA0002.jpg
IMG-20180722-WA0003.jpg
IMG-20180722-WA0001.jpg
IMG-20180722-WA0000.jpg
 
Udalali ndo unavyotakiwa kuwa,siyo mtu anatangaza kuuza chombo yake wewe unaweka ganji mliima shida zote unataka kuzimaliza hapo hapo.

Mkuu nikupongeze kwa hii style yako na hakika kwa hivi kazi utafanya kwani mara nyingi biashara wakishakutana mnunuaji na muuzaji uso kwa macho siyo rahisi biashara kukataa.

Pia siyo rahisi mtu ameshanunua kitu kizuri then ashindwe kukupa ahsante yako.safi sana!
 
Pia kama una gari unauza unaweza nichek utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza

Karibuni jina langu naitwa Yohana

Mobile : 0673263071
 
Huyu mnyama siyo mchezo.
Kwa mtu anayejua gari na uwezo akawa nao basi hii haiachi labda because ipo kwenye picha ndo mana inaonekana nzuri otherwise hii gari ni nzima sana inavyoonekana.
Ya mzungu msasan kaifungia tuuh
 
Huu uzi nimeuelewa utanisaidia siku moja, keep posting Mr Dalali. Bei zako yaani haina haja ya kukuzunguka maana kama ganji unaweka ndogo sana
 
Back
Top Bottom