Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Huyu ni dalali msamaria. Yeye haweki cha juu. Ndio mara ya kwanza nasikia type hii ya dalali.
Hongera mkuu.
Hongera zake dalali msamaria. Ila kasema mwisho wa game
Mnunuaji+ muuzaji Mtachangia kiasi maisha yaende
Another terminology ya Udalali i.e Udalali kwa mtindo tofauti
Huu muziki wa maisha safari hii wote tutacheza staili moja tu
 
Range Rover vogue
Diesel
Cc 3000
A/c
Ainashida yoyote
Price 4M only
IMG-20181212-WA0042.jpg
IMG-20181212-WA0043.jpg
IMG-20181212-WA0041.jpg
IMG-20181212-WA0039.jpg
IMG-20181212-WA0040.jpg
 
Huyo mtu wa Raum ana shida mpk auze bei hiyo chief? Au ameigonga tayali? Maana gari haina mwez njiani
 
Back
Top Bottom