Karungi baby girl
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 301
- 380
Kibaha ipi?? Na bei ni ngapi?Heka zipo kibaha
Hajasema laki 3 kasema anauza shamba la heka 3. Soma kwa umakiniHeka zote hizo laki tatu mkuu!! Umepata changamoto gani hiyo?
Nimeshaweka maelezo bosi, karibu sana.Weka na mawasiliano tukupigie pia...
Ukiweka picha au video itapendeza
Pia taarifa za huduma za kijamii
Bila kusahau kufikika kwake kutoka barabara kuu, hizo hekari kama ni shamba Au eneo la makazi au shamba pori
nimesharekebisha karibu tenaHabari haieleweki mbele wapi na nyuma wapi
soma tena hapo juu bosKibaha ipi?? Na bei ni ngapi?
Mbona hujaweka maelezo ya kutosha
Soma vizuri, heka 1 milioni 300Hajasema laki 3 kasema anauza shamba la heka 3. Soma kwa umakini
Heka moja nauza mil 300 bosSoma vizuri, heka 1 milioni 300
check tena tangazo nimesharekebisha πKibaha sehemu gani na unauza kwa heka shilingi ngapi?
Nauza Heka 3 zipo Kibaha
milioni 300Kibaha ipi?? Na bei ni ngapi?
Mbona hujaweka maelezo ya kutosha
ameweka milioni 300 kwa eka 3. very expensive.....Hajasema laki 3 kasema anauza shamba la heka 3. Soma kwa umakini
acre, not hectre. eka not hektaHeka ni nini?
Sasa dorini iko hivi kama hek moja ni 300m inamaana hap hamna hamna una 900m hebu fanya ukizipata tutaftane tuyajenge mamaa haya maisha unahitaji mtu akupooze usije ukachanganyikiwa na pesa hizo hebu njoo pm ukishauza hata moja ili tujue tunafanyaje WEWE NI WANGU DORINI NAONA KABISA ULIVYOUMBWA UWE WANGUππππNauza Heka 3 zipo Kibaha zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana simu no 0659161693
View attachment 2815111