Karungi baby girl
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 301
- 380
- Thread starter
- #41
🤣Wanasoma kukariri wataelewa wakishapata kazi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Wanasoma kukariri wataelewa wakishapata kazi,
Ushawahi ona mnalala hoi Kibaha, walala hoi wako Sinza na Manzese na Tabata, wenye nyumba wako huko, wakina dr bake, maprofesa wapo huko, wakurugenzi mabenki.Kumbe mtu ukiwa na heka moja kibaha unauhakika wa million 300 , hakunahaja ya kupoteza muda kwenda kusoma ili tuajiriwe , mana utajiri nikuwa na eka moja kibaha.
Watu wakibaha kwanini munahangaika kufanya kazi uzeni hekta mojamoja mutajilike jamani
Yamekuwa hayo tena sio tatu nauza ninazo nyingi kama 20 hivi 🤦♀️Sasa dorini iko hivi kama hek moja ni 300m inamaana hap hamna hamna una 900m hebu fanya ukizipata tutaftane tuyajenge mamaa haya maisha unahitaji mtu akupooze usije ukachanganyikiwa na pesa hizo hebu njoo pm ukishauza hata moja ili tujue tunafanyaje WEWE NI WANGU DORINI NAONA KABISA ULIVYOUMBWA UWE WANGU😂😂😂😂
Eneo linagusa lami, watapata mteja tu, haswa wanaonunua kwa ajili ya vituo vya mafuta na wachina.sijui kama hiyo biashara itafanyika?!!
Nashukuru sana mkuu kweli wateja wapo wengi watanunuaEneo linagusa lami,watapata mteja tu,haswa wanaonunua kwa ajili ya vituo vya mafuta,na wachina
Yeah ni expensive ila atapata mteja maana eneo ni nzuri hasa kwa biashara ya kituo cha mafutaameweka milioni 300 kwa eka 3. very expensive.....
Sawa mkuu nimeiona tatizo bei kipengere. Ila mteja utapatasoma tena hapo juu bos
Sawa mkuu nimeona marekebisho kwenye uzi. Kaweka full sasa ni rahis mtu kumuelewaSoma vizuri, heka 1 milioni 300
Inategemea na location ukipata eneo lilo mbali na barabara ya Moro sidhani kama bei itafika mil 300Kumbe mtu ukiwa na heka moja kibaha unauhakika wa million 300 , hakunahaja ya kupoteza muda kwenda kusoma ili tuajiriwe , mana utajiri nikuwa na eka moja kibaha.
Watu wakibaha kwanini munahangaika kufanya kazi uzeni hekta mojamoja mutajilike jamani
Kuna wengine wanajua kusoma,lakini uelewa wao ni zero kabisaSoma vizuri, heka 1 milioni 300
Selemani una punic. Kumbe dalali .??? Kuwa mvumilivu..!!Kuna wengine wanajua kusoma,lakini uelewa wao ni zero kabisa
Yeah ni kweli izi za kwangu zinapakana na barabara ndo make bei imeanzia mil 300 bosi KARIBUInategemea na location ukipata eneo lilo mbali na barabara ya Moro sidhani kama bei itafika mil 300
hata kama ni dalali shida iko wapi bosi acha aongee kuongea ni bureSelemani una punic. Kumbe dalali .??? Kuwa mvumilivu..!!
Nauza Heka 3 zipo Kibaha zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana simu no 0659161693
View attachment 2815111
Heka 1 ndio m 300 so heka 3 andaa m zako 900 hapo mkuu,maendeleo hayana chamaKibaha unauza heka 3 million mia 300 nenda tena kwa dalali muulize vizuri then urudi upya
sawNaona sasa watu wameanza kuuza barabara za lami
kibaha:Nauza Heka 3 zipo Kibaha zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana simu no 0659161693
View attachment 2815111
Kwa mfipa bosi karibuuuuukibaha:
1. Picha ya Ndege?
2. Kwa Mathias?
3. Kwa Mfipa?
4. Kwa Mbonde?