Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

Kumbe mtu ukiwa na heka moja kibaha unauhakika wa million 300 , hakunahaja ya kupoteza muda kwenda kusoma ili tuajiriwe , mana utajiri nikuwa na eka moja kibaha.
Watu wakibaha kwanini munahangaika kufanya kazi uzeni hekta mojamoja mutajilike jamani
Ushawahi ona mnalala hoi Kibaha, walala hoi wako Sinza na Manzese na Tabata, wenye nyumba wako huko, wakina dr bake, maprofesa wapo huko, wakurugenzi mabenki.
 
Sasa dorini iko hivi kama hek moja ni 300m inamaana hap hamna hamna una 900m hebu fanya ukizipata tutaftane tuyajenge mamaa haya maisha unahitaji mtu akupooze usije ukachanganyikiwa na pesa hizo hebu njoo pm ukishauza hata moja ili tujue tunafanyaje WEWE NI WANGU DORINI NAONA KABISA ULIVYOUMBWA UWE WANGU😂😂😂😂
Yamekuwa hayo tena sio tatu nauza ninazo nyingi kama 20 hivi 🤦‍♀️
 
Kumbe mtu ukiwa na heka moja kibaha unauhakika wa million 300 , hakunahaja ya kupoteza muda kwenda kusoma ili tuajiriwe , mana utajiri nikuwa na eka moja kibaha.
Watu wakibaha kwanini munahangaika kufanya kazi uzeni hekta mojamoja mutajilike jamani
Inategemea na location ukipata eneo lilo mbali na barabara ya Moro sidhani kama bei itafika mil 300
 
Nauza Heka 3 zipo Kibaha zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana simu no 0659161693

View attachment 2815111

Naona sasa watu wameanza kuuza barabara za lami
 
Back
Top Bottom